Jacque Maribe akitema kikosi cha zamani cha girls’ squad… azindua BFF’s wapya

Aliyekuwa mtangazaji wa Citizen TV Jacque Maribe  amekuwa akiishi maisha yake  bila vikwazo tangia alipoondoka  kutoka kituo hicho . Maribe ambaye sasa  hufanya kazi za hapa na pale kuandaa   ana rafiki mpya ,ripota wa runinga hiyo Chemutai Goin.

https://www.instagram.com/p/B7-CjnGnmpP/

Wawili hao wamekuwa wakijivinjari pamoja katika hafla mbali mbali  na  ni wazi kwamba Jemutai ameziba pngo la rafiki wote waliokuwa katika maisha ya Maribe hapo awali . Maribe katika posti moja ameandika ;

YOU KNOW SHE’S YOUR CLOSEST FRIEND WHEN YOU COLOR COORDINATE IMPROMPTU TO JUST GO EAT AND LISTEN TO SOME MUSIC. @CHEMUTAIGOIN RED AND BLACK NIGHT THAT WAS, AND AS ALWAYS, TREASURES,’ 

Katika posti nyingine aliandika ,

OUT HERE SHARING SMILES WITH THIS HOTTIE @CHEMUTAIGOIN YOU ARE A FIERCELY LOYAL FRIEND, AND WE ARE ALWAYS SMILING   ALSO THE FLASH ON THIS PICTURE MADE US LOOK LIGHT-SKINNED  .

Hizi hapa baadhi ya picha za marafiki hao wawili