Nikikupea utawezana? Kitu hot kweli, Kutana na mpenzi wa Mulamwah

pjimage (5) (1)
pjimage (5) (1)
NA NICKSON TOSI

Amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii kufuatia hatua yake ya kutangaza kuwa amewachana na kazi yake ya ucheshi baada kuingiliwa na Wakenya mara si haba kwenye mitandao hiyo.

Katika barua hiyo aliyoandika na kuweka kwenye mitandao yake ya kijamii, Mulamwah alisema madhila aliyopitia mikononi mwa wakenya kwenye mitandao ya kijamii ilimfanya mpenziwe kupoteza mtoto wao kabla ya kufikia muda wake wa kuzaliwa .

Hapa nimekuandalia picha za mpenzi wake. Tazama

‘ Mulamwah ni mnafiki na mnyanyasaji,’ Kamene goro Asema

‘ Tulimpoteza mtoto wetu wa miezi 3 kwa ajili ya stress.’ Mulamwah asema huku akitangaza kujiondoa kutoka comedy

Rafiki wa karibu wa Mulamwa, Kartelo aliwahi kumuuliza ni lini anawazia kumuoa kichuna huyo kwani ni watu ambao wamekuwa wakiishi kwa furaha kwa muda sasa.