'Diamond hawezi kurudia watu wanaonuka maziwa ya mtoto!' - Juma Lokole Asema

Kupitia kwa mahojiano ni wazi kuwa Diamond alikuwa tu anawapenda baby mamas wake ilhali hakuweza kukaa na wao sana wakati alipojifungua, uhusiano wao haukuzidi miaka tano.

Katika kila kutemana kwao hadithi baada ya ingine ilitokea lakini msanii Diamond ndiye aliwekewa makosa yote kwa kuwacheza wapenzi wake.

Hivi majuzi Tanasha alitemwa na akiwa katika mahojiano alikuwa na haya ya kusema kuhusiana na uhusiano wake na Diamond.

“THINGS STARTED HAPPENING REALLY FAST. I WASN’T IN LOVE YET. I LIKED HIS ENERGY AND HIS VIBE BUT I WASN’T IN LOVE.

THEN ALL OF A SUDDEN HE WANTED TO MARRY ME. THIS WAS AFTER THREE MONTHS OF DATING.THEN A DATE WAS SET FOR FEBRUARY." Alisema Tanasha.

Alizungumza na kusema vile kumchumbia msanii kunaweza kukosesha mtu usingizi kila kuchao na jinsi uhusiano wake na Diamond ulianza kuenda segemnege.

“TOWARDS THE END, THINGS WERE GETTING ROCKY, FOR THE PAST 6 MONTHS BUT WE WERE STILL TRYING TO SEE HOW WE CAN MAKE IT WORK AND THEN IT GOT TO A POINT WHERE YOU SEE THE OTHER PERSON HAS JUST LOST INTEREST. AND IT’S NOT BECAUSE OF ANYTHING EMOTIONAL WOULD SAY IS NOT LIVING UP TO CERTAIN EXPECTATIONS HE HAD IN THE RELATIONSHIP AND IT IS NOBODY’S FAULT BECAUSE EVERYBODY IS WIRED THE WAY THEY ARE AND WHEN YOU DON’T LIVE UP TO THIS PERSON’S EXPECTATIONS, FOR SOME PEOPLE IT’S NOT EASY TO HANG ON WHILE FOR SOME IT’S OKAY.”

Kulingana na Juma Lokole kupitia mahojiano alisema Diamond hayuko tayari na hatawahi rudiana na baby mamas wake kwa maana wamenyonyesha watoto wao.

Waliokuwa wapenzi wa Diamond wote wamemzalia watoto lakini Lokole alikuwa na haya ya kusema.

“DIAMOND HAWEZI KURUDI KULE ALIKOTOKA, SASA HIVI ANATAFUTA WATOTO WABICHI HAWANUKI MAZIWA." Alizungumza Lokole.

Usemi wake unakuja siku kadhaa baada ya wengi kusema kuwa Diamond anaweza  rudiana na aliyekuwa mpenzi wake Zari Hassan.