Hivi sasa ! Ndege iliyokuwa imewabeba abiria 100 imeanguka Pakistan

EYnnIpGWoAEO9uU
EYnnIpGWoAEO9uU
Taarifa za hivi punde ni kuwa ndege ya shirika la Pakistan na iliyokuwa imewabeba abiria 100 iliyokuwa inatoka Lahore imeanguka Karachi -shirika la ndege hiyo limedhibitisha.

Ndege hiyo kando na kuwabeba bairia 100 ,ilikuwa na wahudumu wanane.

"The plane crashed in Karachi. We are trying to confirm the number of passengers but initially it is 99 passengers and eight crew members,"amesema mseamaji wa shirika hilo la ndege Abdul Sattar Khokhar,

Ajali ya ndege hiyo inajiri siku chache tu baada ya taifa hilo kurejelea shughuli za usafiri wa angani