Kila saa my husband! My friend peleka uko huyo sponsor wako ukoo, Wakenya wamfokea Emmy Kosgei

70519539_2068270709941596_7131059812198133662_n
70519539_2068270709941596_7131059812198133662_n
Mshindi wa tuzo ya mziki wa injili nchini Emmy Kosgei na mumewe askofu Anselm Madubuko wamekuwa wakidhiirisha wazi namna wanavyopendana.

Wawili hao ambao kwa sasa ni wachungaji,kila mara wamekuwa wakiitwa na wafuasi wao kama mama na baba.

Waliadhimisha miaka 5 ya ndoa yao hivi maajuzi n.

Hivi maajuzi Emmy alilazimika kuingilia kati baada ya shabiki kuandika ujumbe wa kuonekana kama kejeli kwao.

THE ONLY THING YOU CAN TALK ABOUT ALL THE TIME IS YOUR HUSBAND EEEISH! GIVE US A BREAK.aliandika shabiki huyo.

Emmy na  Madubuko wameweka wazi uhusiano wao kwa umma kutokana na jinsi wanavyoishi .

Wakati wa bwanake alipokuwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa Julai 25,Emmy alimwandikia ujumbe ufuatao.

IT’S MY HUBBY’S BIRTHDAY DAY! HAPPY BIRTHDAY MY DARLING… THE MOST WONDERFUL HUSBAND ANY WOMAN WOULD ASK FOR! A FATHER TO MANY, APOSTLE TO THE NATIONS… I LOVE YOU.I CELEBRATE YOU TODAY AND ALWAYS … TO MANY MORE YEARS OF GRACE AND IMPACT. YOU MEAN EVERYTHING TO ME, YOUR PRESENCE IN MY LIFE HAS CAUSED A SHIFT, IT’S A BLESSING FULFILLING DESTINY WITH YOU.I’M WISER, I’M BETTER, I’M SO GRATEFUL FOR EVERYTHING AND ALL YOU DO FOR ME… I WISH YOU NOTHING BUT LONGEVITY, HEALTH AND WEALTH.LET YOUR OIL CONTINUALLY FLOW AFRESH. MAY GOD GRANT YOU YOUR BIRTHDAY WISH TODAY.aliandika Emmy