Nimeishi na virusi vya ukimwi tangu 1992-Doreen Moraa Asema

Doreen Moraa ni mwanamke mwenye werevu wa kupigiwa mfano, amekuwa akiishi na virusi vya ukimwi tangu azaliwe na wala hajawahi ona jambo ngumu maishani mwake wala ubaguzi.

Moraa amekuwa akiwaelimisha wakenya wengi kuhusu virusi hivyo kupitia kwenye mitandao ya kijamii na hata kuwatia nguvu maishani mwao na pia kuwashauri ambao wamebaguliwa na wenzao na jamaa zao.

Akizungumza alisema kuwa hajawahi ana ugonjwa huo kuwa kikwazo maishani mwake.

"I HAVE LIVED WITH HIV FROM 1992 TO DATE,ONE THING I HAVE LEARNED IS THAT HIV IS A TINY VIRUS I SHOULDN’T GIVE IT POWER OVER MY LIFE. I AM THE HOST HIV IS MY GUEST. ALSO, MY HIV STATUS DOES NOT DEFINE ME BUT I DEFINE WHAT HIV IS IN MY LIFE. I AM A BEAUTIFUL STORY 💜."

Katika familia yao, Moraa ni mwana wa tatu mama yake ana virusi hivyo wala baba yake hana, alisema kuwa alijua kuwa ana virusi hivyo alipokuwa na miaka nane.

"I WAS BORN TO A HIV DISCORDANT COUPLE, MY MUM IS POSITIVE MY DAD IS NEGATIVE I’M THEIR THIRD BORN AND MY 3 OTHER SIBLINGS ARE VERY MUCH NEGATIVE.

MY PARENTS FOUND OUT I WAS POSITIVE WHEN I WAS 8, MY DOCTORS SAID IF I REACH 13 THEN I’LL BE ABLE TO GROW UP A NORMAL CHILD BUT GOD WASN’T DONE WITH ME YET HE HAS ADDED ME 13 MORE YEARS AND THIS IS JUST THE BEGINNING COZ I KNOW GOD’S NOT DONE WITH ME YET .

I’M OPEN ABOUT MY HIV STATUS NOT BECAUSE OF THE PITY BUT BECAUSE ONE DAY I WANT SOMEONE TO LOOK AT ME AND SAY “BECAUSE OF YOU, I DID NOT GIVE UP

LIVING POSITIVELY ISN’T EASY BUT I REMIND MYSELF EVERYDAY THAT “I AM GREATER THAN HIV” AND THAT KEEPS ME GOING." Alisema.