Heshimu wenye wako na sponsor : ‘Mwili inataka lakini kakitu kamegoma’

Kwa muda mrefu sasa imekuwa  dhana kwamba wasichana walio na wapenzi wazee au maposnosr huwa na maisha ya rah asana ila ufichuzi wa mwanamke mmoja mtandaoni umetoa taswira tofauti sana .

Mwanamke huyu kupitia msururu wa maandishi kwa kundi moja la akina dada amesimulia masaibu yake na jinsi alivyoteseka sana kupata raha za kitandani na mwanamme mwenye umri wa miaka 57 . Jamaa alikuwa na nia ya kumpa  uroda lakini mwili ulikuwa umegoma . Mwanamke huyo pia ameelezea mengine mengi ambayo wasichana huvumilia  ili kupata pesa kutoka kwa wanaume wanaowazidi umri . Soma yote hapa