Mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi anayefahamika na wengi na mwanasosholojia Ken Ouko ameaga dunia .
Mkurugenzi wa mawasiliano wa chuo hicho John Orindi amethibitisha kwamba Ouko amefariki jumaosi asubuhi baada la kulazwa hospitalini .Ouko ameaga duni kwa ajili ya virusi vya corona .
Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa Nasa Norman Magaya ni miongoni mwa waliotumia twitter kuomboleza kifo cha Ouko
https://twitter.com/amugira/status/1289449533177569280
Aliyekuwa mgombeaji wa kiti cha ubunge cha Kibra Eliud Owalo pia alimuomboleza Ken kupitia twitter akisema ;
https://twitter.com/EliudOwalo/status/1289459625566171136