Je ,marafiki wako ni wa kuchanga kununua mzinga ama mnasaidiana kiukweli? Podi ya Yusuf Juma

friends 2 (2)
friends 2 (2)
Katika Podi hii  jiulize iwapo watu wanaokuzingra kama marafiki wanakufanya uwe mtu bora ama wanakufelisha . Mara nyingi tunajipata kuwa mateka wa makundi ya marafiki ambao hawatusaidii kwa lolote maishani na kuwepo kwao kunatufanya kusalia pale pale .

&t=7s

Marafiki wako wanafaa kuwa watu wanaoweza kukukwamua kutoka tatizo lolote na hata kukupa ushauri unaokufaa . Je,tangu janga hili la corona lianze ,kuna rafiki  ambaye hukupigia simu kukujulia kazi? Je, wewe ni rafiki mzuri?

Baada ya kujua kwamba rafiki yako amepoteza kazi ,amefiwa ama ni mgonjwa ulichukua hatua gani kama rafiki?

&t=2s