Yote unayofaa kujua kuhusu jinsi ya kuishi na mfanyikazi wa nyumbani+Podi ya Yusuf Juma

housemaid (1)
housemaid (1)
  Wakati mwingi umeskia kuhusu visa ambapo mtu  amewabadilisha wafanyikazi wa nyumbani kila mwezi n ahata wakati mwingine uhusiano kati ya mfanyikazi huyo na mwajiri wake huvurugika na kusababisha kesi kufikishwa kortini .

Katika Podi hii tunakueleza kuhusu jinsi unavyofaa kuhusiana au kuishi na mfanyikazi wako wa nyumbani . Mwongozo ni pamoja na  kuhakikisha kwamba anapata siku yake ya kupumzika ,unamlipa kama mlivyokubaliana , mpe chakula  ,mheshimu na  mkubaliane kuhusu  jinsi ya kuwasilisha lalama zake au jambo la dharura katika familia yako.