'Kuja atukule pamoja,'Mkewe Jowie Irungu amjibu shabiki baada ya usemi huu

Mkwe msanii Jowie Irungu si miongoni mwa wanawake ambao wanapenda utani katika maisha yao haswa maisha ya uhusiano wa kimapenzi na wapenzi wao.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram mpenzi wake Jowie alipakia video huku akisifu upendo wao kwa ujumbe mfupi.

https://www.instagram.com/p/CFMprfoFxav/

"Upendo una nguvu sana, tumeanza kufanana kama mandugu."

Shabiki mmoja anayefahamika mutitu mutitu alidai kwamba Jowie anapenda wanawake na kuwatumia, baada ya mkewe kuona hayo alimpa bonge la jibu na kumwambia iwapo mume wake anapenda wanawake anapaswa kujiunga naye wapendwe na kutumiwa pamoja.

"Kuja atukule pamoja."  Aliandika Micabella.