Watu hawapendi vitu hivi lakini wao hunyamaza+Podi ya Yusuf Juma

friday
friday
Katika mahusiano au ndoa kuna vitu ambavyo huvipendi ambavyo mwenzako hufanya.

Je ,unawezaje kumuambia mtu unayempenda kwamba tabia au jambo ambalo yeye amezoea  kulifanya linakukera wewe bila kumkwaza?

  Katika podi hii leo tunakueleza baadhi ya vitu ambavyo wanawake kwa wanaume huchukia sana   ambavyo wenzao katika mahusiano hufanya lakini hawana ujasiri wa kuzungumza  na kuonyesha kero zao