Kauli ya Siku

Kifanye ama acha …hapafai kuwa na kujaribu

Muhtasari

Iwapo wataka kufanya jambo basi lifanye kwa kujitolea sio ukisita sita  ama kwa kinyongo

Kauli ya Siku
Image: Yusuf Juma

Kifanye ama acha …hapafai kuwa na kujaribu

  Maelezo: Iwapo wataka kufanya jambo basi lifanye kwa kujitolea sio ukisita sita  ama kwa kinyongo