Unakaa mrembo ukiwa upande wa Hustler nation,'Wakenya wamwambia Cate Waruguru baada ya kuposti picha hii

Muhtasari
  • Mwana mpotevu karibu katika hustler nation wakenya wamwambia Cate Waruguru
  • Cate amekuwa mkosoaji mkubwa kwa wanasiasa ambao wanatumia majina ambayo hayastahili ili kupata kura kutoka kwa wanachi
  • Unakaa mrembo ukiwa upande wa Hustler nation
Cate Waruguru
Image: Hisani

Baadhi ya wakeya mnamo,1,Novemba wamemshauri mwakilishi au kiongozi wa wanawake wa kaunti ya Laikipia Cate Waruguru walimshauri ajiunga na hustler nation, hii ni baada ya mwakilishi huyo kuposti picha huku akiwa anasafiriki kwa kutumia pikipiki.

Cate amekuwa akiwakosoa wanasiasa ambao wamekuwa wakitumia majina ambayo hayastahili ili kupata kura kwa wananchi.

Haya basi wakenya kwenye mitandao walimwambia Cate kuwa anajaribu kuiba mtindo wake naibu rais William Ruto kwa hivyo vadala ya kufanya hayo anapaswa kujiunga naye.

Kupitia posti ambayo alipakia kwenye ukurasa wake wa facebook, alisema ya kwamba kazi yeyote inapaswa kuheshima na ni ya maana.

Huu hapa ujumbe wake;

"Unashikisha Fom yako wapi Hii Wikendi ? Every Hustle counts na nimeamua Leo ni Boda tu pale mashinani👊." Aliandika Waruguru.

Ni ujumbe ambao uliibua hisia mseto kwenye mitandao hio na hizi hapa baadhi za hisia za wakenya;

Queenstr Ruto: Welcome to the hustler Nation. Bodaboda is our slogan.

Kiplang'at Koech: Damu yako inaonyesha bado uko upande ile ingine Congratulations, tabia nikama ngozi huwezificha

Ãýûb Ðê Çühítíç Bûøý: Ukitembea kila mahali hutakosa wheelbarrow mkokoteni na bodaboda. lkni kuona V8 na chopper ni ngumu sana. Ambia Raila Odinga ajue hii kenya inajengwa na hustler nation

 

Gordon Mkenya: You are struggling too much. Just come home. The Hustler nation family is where you belong. Prodigal daughter.

Mkenya Daima: And just like that the conversation has changed ,,you look so beautiful wen in the side of hustler nation

Rahma Binti Guliye: You Left camp ya Ruto when you said unataka gavana and he told you endelea na women rep wacha former minister of agriculture akua gavana umekimbia capitol hill, tena ndio hii umeanza kuimba every Hustle matters

Ngeno Frankline: Welcome to Hustler Nation ,Where we deliberate on real issues not side shows ,The movement is unstoppable