Wakati mwingine unafaa kujiuliza mbona mpenzi wako hataki ijulikane kwamba mko pamoja.kuna sababu nyingi nzuri za watu kutaka kuyaficha mahusiano yao lakini unafaa kuwa mwangalifu kwa sababu huenda pia kuna hila ktika uamuzi kama huo.
Katika podi hii tunajadili ujanja wa baadhi ya watu kuweka siri mahusiano yao kumbe wanatumia usiri huo kujihusisha katika mahusiano mengine ya pembeni