Nimekubali hilo jina la mkokoteni-Millicent awajibu wakenya waliomuita mkokoteni

Muhtasari
  • Nillicent Omanga akabiliana na wanamitandao ipasavyo baada ya kumuita mkokoteni
  • Senea huyo alisema kwamba yuko sawa kuitwa mkokoteni kwa maana inawasaida wananchi
Omanga
Omanga

Seneta mteuliwa Millicent Omanga kwa uda sasa amekuwa akiwafurahisha wanamitandao na hata kuwasaidia wanyonge nchini.

Mwanasiasa huyo ni mfuasi Sugu wa DP William Ruto, ambao wamekuwa wakipinga mchakato wa maridhiano BBI kwa muda.

Huku kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter siku ya jumatano aliandika maoni yake kuhusu kauli mbiu ya 'hustler nation'

 
 

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter siku ya jumatano seneta huyo alisema kwamba amekubali kuitwa mkokoteni kwa maana ina manufaa yake.

Ni ujumbe ambao hukupokelewa vyema na wakenya huku wengi wakimkejeli kwa ajili ya ujumbe huyo.

"Nimeona mnaniita mama wheelbarrow, hio wheelbarrow ni rent, ni school fees, ndio chakula, ndio everything kwa watu wengi. Bora nimewasaidia kupata hizo, hio jina nimeikubali kabisa Folded hands. #MamaMiradi." Aliandika Millicent.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wakenya kwenye mitandao ya twitter;

@disshon:Si basi u organize mama miradi ata kama ni kazi ya kigonyi sijakataa. Ni kubaya sana aki.. Thinking face

Phil Munda: Am struggling to understand why these takatanga leaders can't give their kids wheelbarrows first,ama the Kuna 1st class hustlers who deserve cars and choppers and 2nd class hustlers who deserve wheelbarrows?mnapimwa Sana with his fake narrative

KOT: Some of those people pushing wheelbarrows have university level education. Why not formula policies that will see those people get jobs in their areas of specialisation? Thinking face

 

Catherine Chekpkoech: But you told us your ass is so big haiwezi toshea kwa economy class ya ndege, kwa wheelbarrows ndio itatoshea?