Ibilisi alipowatuma magaidi kumuua Mama yako kanisani, hakufikiria ni mwongo-Ujumbe wa Sonko kwa mwanawe

Muhtasari
  • Mike Sonko amwandikia mwanawe ujumbe maalum
  • Huku akisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe ambaye amehitimu miaka 9, mwanasiasa huyo alisifia mwanawe kwa njia ya kipekee
  • Alimwandikia ujumbe huku akimuomba Mungu amzindishia baraka tele na maisha marefu

Ni furaha ya kila mwana kukua akiwaona wazazi wake, lakini kuna wale ambao hawakubarikiwa kuwaona wazazii wao baada ya kuzaliwa kwani wamepatana wazazi wengine wenye wanawatunza.

Mike Sonko anafahamika kama mmoja wa mwanasiasa ambaye amekuwa akiwasaidia watoto mayatima na wanyonge nchini.

Huku akisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe ambaye amehitimu miaka 9, mwanasiasa huyo alisifia mwanawe kwa njia ya kipekee.

Alimwandikia ujumbe huku akimuomba Mungu amzindishia baraka tele na maisha marefu.

"Wakati Ibilisi alipowatuma magaidi kumuua Mama yako kanisani, hakufikiria kamwe kuwa yeye ni mwongo na alishindwa miaka 2000 iliyopita

Mwanangu, ni wazazi wachache tu ndio waliobahatika kubarikiwa na Mwana aliye na vipawa kama wewe, kila siku tunamshukuru Mungu kwa ajili yako - wewe ni Mvulana wa ajabu na Mwana wa ajabu

Mei kila ndoto na utamani haujatimia tu bali pia itasababisha siku zijazo za kushangaza kwako! Heri ya kuzaliwa kwa miaka 9 mwanangu Satrine Osinya." Aliandika Sonko.

Hizi hapa jumbe za wakenya;

Ibrahim Hassan Muhammad: Politcs aside, you are one of the best souls in Kenya

Eunice Becky Owiro: I'll forever respect you and be grateful for this act of kindness you showed these children

Rose Waithera: God bless you Sonko. Like David you have love of God and mankind inside your heart despite everything else.

Juelz Mariam: Mad respect to you and your wife Sir.You have indeed proven that there are kind hearted people out here.May God continue to guide and bless your family