logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mauaji ya Monica: Mahakama yaghairi dhamana ya Jowie Irungu

<ul> <li>"Ninafuta dhamana yako. Utazuiliwa hadi tarehe 8 Machi," Hakimu Grace Nzioka alisema.</li> </ul>

image
na Davis Ojiambo

Habari09 February 2024 - 11:57

Muhtasari


  • "Ninafuta dhamana yako. Utazuiliwa hadi tarehe 8 Machi," Hakimu Grace Nzioka alisema.

Mahakama imeghairi dhamana ya Jowie Irungu baada ya kutiwa hatiani.

Hakimu Grace Nzioka alisema kuwa mstakiwa kushikiliwa chini ya ulizi hadi Machi 8, 2024.

"Ninafuta dhamana yako. Utazuiliwa hadi tarehe 8 Machi," Hakimu Grace Nzioka alisema.

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved