logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Takwimu za ajali za barabarani katika kipindi cha miezi 3 iliyopita, tayari watu 1222 wameangamia!

Takwimu hizi zilitolewa na NTSA pamoja na waziri wa barabara Murkomen.

image
na Davis Ojiambo

Habari09 April 2024 - 14:01

Muhtasari


  • • Alhamisi wiki jana, NTSA ilitoa takwimu hizo huku waziri wa miundombinu Kipchumba Murkomen akizichambua kwa sasisho zaidi siku ya Jumapili.
  • • Murkomen alitoa takwimu hizo akiwa katika hafla ya Kanisa Jumapili katika kaunti ya Narok, na kulaumu ajali nyingi kwa matumizi mabaya ya barabara.
Takwimu za ajali za barabarani

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved