Takriban waliokuwa mawaziri sita wameachwa nje ya orodha ya kwanza ya mawaziri 11 katika mabadiliko mapya yaliyotangazwa na Rais William Ruto siku ya Ijumaa.
Susan Nakhumicha -Afya
Justin Muturi - Mwanasheria mkuu
Ezekiel Machogu (Elimu),
Mithika Linturi - Kilimo
Zachary Njeru - Maji
Kipchumba Murkomen -Uchukuzi
Eliud Owalo - ICT