logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mawaziri wa zamani kutoka baraza lililovunjwa na ambao wamerudishwa kwenye baraza jipya

Rais William Ruto amewateua mawaziri 11 wa baraza la mawaziri kwa serikali yake huku wengine wa mawaziri wakiteuliwa tena.

image
na Davis Ojiambo

Habari19 July 2024 - 13:41

Muhtasari


  • •Kindiki,Duale ,Soipan Tuya ni miongoni mwa walioteuliwa tena.

Rais William Ruto amewateua mawaziri 11 wa baraza la mawaziri kwa serikali yake huku wengine wa mawaziri wakiteuliwa tena.

Tazama Orodha ya mawaziri walioteuliwa tena;

Kithure Kindiki  - mambo ya ndani na utawala wa kitaifa

Aden Duale - Ulinzi

Alice Wahome - ardhi

Davis Chirchir -  barabara

Soipan Tuya -Mazingira

Rebecca Miano-Mwanasheria mkuu


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved