Manchester United hawakuwa na historia ya kubadilisha makocha mara kwa mara, kwani walikwama na Ferguson kati ya mwaka 1986 hadi alipostaafu 2013.
Ila baada ya kusataafu kwa raia huyo wa Scotland, kiti cha ukocha cha Man Utd kimekuwa kito moto ambapo makocha hawakai zaidi ya miaka 5.
Tangu kuondoka kwa Ferguson, kumekuwa na makocha 8 ambao wote wameshindwa kuboresha matokeo ya klabu hiyo.