Matokeo ya KCSE:Simiyu Robinson kutoka shule ya upili ya Murang'a aongoza KCSE

Muhtasari
  • Simiyu Robinson kutoka shule ya upili ya Murang'a aongoza KCSE
CS magoha
CS magoha

Mtahiniwa Simuyu Robinson Wanjala wa Shule ya Upili ya Murang'a ndiye aliyeibuka wa kwanza.

Kulingana na matokeo hayo, watahiniwa 893 walipata alama ya A huku 143, 140 wakipata alama zitakazowawezesha kuingia moja kwa moja katika Vyuo Vikuu.

Wakati huo huo, watahiniwa wa kike walikuwa wengi zaidi katika Kaunti 15.

Mtahiniwa wa pili alipata alifahamika kama Allan Watonga kutoka shule ya upili ya Agorosale.

Wanafunzi waliopata alama ya C+ walikuwa zaidi ya 143,000

Mengi yafuata;