Corona:Muda wa Kafyu waongezwa kwa muda wa siku 60

Muhtasari
  • Muda wa Kafyu waongezwa kwa muda wa siku 60
Rai Uhuru Kenyatta
Image: PSCU

Rais Uhuru Kenyatta ameongeza siku ya kutotoka nje kwa taifa kwa siku 600.

Muda wa kutotoka nje ambao kwa sasa unaendelea kati ya saa nne usiku hadi  saa kumi asubuhi utakuwapo hadi tarehe 27 Julai.

"Agizo hili litatumika wakati wa saa za giza kati ya saa kumi jioni na saa nne asubuhi kuanzia tarehe 28 Mei, 2021 na itaendelea kutumika kwa kipindi cha siku sitini," serikali ilisema katika ilani ya Gazeti la Mei 28.

Wakati huo huo, serikali imehifadhi vizuizi vyote kwa mikusanyiko ya umma, maandamano au harakati iwe peke yako au kama kikundi wakati wa amri ya kutotoka nje. Hali inaongeza amri ya kutotoka nje kwa siku nyingine 60