Seneta Samson Cherargei atiwa mbaroni

Muhtasari
  • Haya yanajiri saa chache baada ya spika wa wa Nairobi Mutura, kujiwasilisha katika makao makuu ya DCI, kujibu madai ya wizi
Star, KWA HISANI
Star, KWA HISANI
Image: Samson Cherargei

Seneta wa Nandi Samson Cherargei amekamatwa.

Seneta huyo kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii alitangazahabari za kumatwa kwake, alidai kwamba alichukuliwa Alhamisi asubuhi, Aprili 21, na kupelekwa Nairobi kuhojiwa.

"Nimekamatwa na nimepelekwa Nairobi," Aliandika Cherargei.

Rafiki wa karibu na seneta huyo aliambia Radiojambo kwamba Samson alikamatwa baada ya kutohudhuria vikao vya mahakama siku ya JUmanne.

Haya yanajiri saa chache baada ya spika wa wa Nairobi Mutura, kujiwasilisha katika makao makuu ya DCI, kujibu madai ya wizi.

Mengi yafuata;