Kura ya maoni: Nani anafaa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga?

Muhtasari

• Aliyekuwa mbunge wa Gatanga Peter Kenneth anaongoza kwa asilimia 31.0 

• Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka ni wa pili kwa asilimia 26.0.