Ziara za rais Ruto nje ya nchi tangu kuapishwa

Rais Ruto aliapishwa Septemba 13 katika ukumbi wa Kasarani, na takribani miezi mitatu, amekuwa na ziara katika mataifa mbali mbali.

Muhtasari

• Jumapili jioni ikulu ilithibitisha kuwa Rais Ruto alitakiwa kuondoka kwa ziara rasmi nchini DRC na baadaye Korea Kusini.

Ziara za rais Ruto nje ya nchi tangu kuapishwa
Radio Jambo Ziara za rais Ruto nje ya nchi tangu kuapishwa
Image: Hillary Bett