Wafahamu wachezaji waliogharimu pesa nyingi zaidi katika EPL

Uhamisho wa Grealish kutoka Aston Villa kuenda Man City ndio ghali zaidi kuwahi kufanyika EPL.

Muhtasari

•Uhamisho wa Jack Grealish kutoka Aston Villa kuenda Man City ndio ghali zaidi kuwahi kufanyika EPL.

Wachezaji waliogharimu bei ya juu zaidi katika EPL
Image: WILLIAM WANYOIKE

Wachezaji 10 waliogharimu bei ya juu zaidi katika EPL ni pamoja na:-

  • Jack Grealish (Aston Villa- Man City 2021 ) - Ksh15.3B
  • Romelu Lukaku (Inter- Chelsea 2021) - Ksh14.9B
  • Paul Pogba (Juventus- Man U 2016) - Ksh13.6B
  • Mykhailo Mudryk (Shakhtar Donetsk- Chelsea 2023) - Ksh 13.3B
  • Harry Maguire (Leicester-Man U 2019) - Ksh12.2B
  • Romelu Lukaku (Everton –Man U 2017) - Ksh11.5B
  • Virgil Van Dijk (Southampton-Liverpool 2018)- Ksh 11.5B
  • Jadon Sancho (Borrusia Dortmund 2021) Ksh 11.2B
  • Kai Havertz (Bayer Leverkusen – Chelsea 2020) Ksh 11B
  • Nicolas Pepe (Lille-Arsenal 2019) Ksh 11B