Mfahamu marehemu George Magoha kwa undani

Marehemu George Magoha alifariki Januari 24, 2023 akiwa na umri wa miaka 71.

Muhtasari

•Waziri wa zamani wa Elimu George Magoha alizaliwa mwaka wa 1952 na kufariki mnamo Januari 24, 2023.

•Alikuwa ameoa mwanamke Mnigeria, Dkt Barbara Magoha, ambaye walizaa naye mtoto mmoja, Michael Magoha.

Mfahamu George Magoha
Image: ROSA MOMANYI
Mfahamu George Magoha
Image: ROSA MOMANYI

Mfahamu George Magoha kwa undani:-

• Jina - George Albert Omore Magoha

• Alizaliwa 1952

• Elimu ya msingi - Yala na Nairobi

• Elimu ya upili - Starehe Boys

• Elimu ya Chuo Kikuu – Lagos, Nigeria

• Alisomea Upasuaji na Urolojia

• Mhadhiri wa Upasuaji na Urolojia, UoN - 1988

• Naibu Chansela, UoN, 2005-2015

• Mwenyekiti wa KNEC, 2016- 2019.

• Waziri wa Elimu, 2019 - 2022

• Mwenyekiti wa zamani wa KMPDB

• Kamishna wa Elimu ya Juu, 2005 -2013

• Mumewe Dkt. Barbara Magoha

• Ana mtoto mmoja, Michael Magoha

• Alifariki Januari 24, 2023