Magoha, Saitoti, Nkaissery, Musando, n.k - Wakenya maarufu waliokufa ghafla!

Mapema wiki hii, Wakenya walipigwa na butwaa na habari za kifo cha aliyekuwa waziri wa elimu msomi George Magoha.

Muhtasari

• Wakenya hawa wengi wao walijizolea umaarufu kwa kazi zao katika nyadhifa mbalimbali kwenye taasisi za kiserikali.

• Vifo vyao vilikuja kwa ghafla na kuzua mshtuko mkubwa miongoni mwa Wakenya.

Watu maarufu waliofariki vifo vya ghafla
Watu maarufu waliofariki vifo vya ghafla
Image: Radio Jambo