Vilabu vya EPL vyenye thamani zaidi mwaka 2023

Manchester United ndio klabu yeney thamani kubwa licha ya kutoshinda taji la maana katika miaka 5 iliyopita.

Muhtasari

• Mara ya mwisho kwa Manchester United kushinda ubingwa wa EPL ni miaka 10 iliyopita.

vilabu vya EPL vyenye thamani kubwa
vilabu vya EPL vyenye thamani kubwa
Image: Radio Jambo