Wafahamu ndugu maarufu wanaocheza soka Ulaya

Kylian Mbappe na kakake mdogo Ethan wanachezea klabu ya PSG.

Muhtasari

•Andre Ayew na kaka yake mdogo, Jordan Ayew wanachezea vilabu vya Nottingham Forest na Crystal Palace mtawalia.

•Eden Hazard na ndugu zake wawili Thogan na Kylian Hazard wanachezea vilabu vitatu tofauti vya Ulaya.