Mzigo wa kufadhili ofisi 50 za makatibu waandamizi

Mbali na Kshs.45m ruzuku ya nyumba na gari zitakazo lipwa mara moja, Jumla ya Khs. 38m zitatumika kulipa CAS 50 kila mwezi

Muhtasari

• Katibu mwandamizi atapokea bima ya afya ya thamani ya Shs. 13m na magari mawili rasmi.

Image: WILLIAM WANYOIKE