Kipigo cha Aprili: Matokeo ya Chelsea tangu Lampard kurejea kama kocha wa muda

Tangu Lampard kuchukua usukani, Chelsea wameshiriki mechi 5 na kufunga bao moja tu huku wakifungwa mabao 9.