Vifo vya kutamausha vya wahasiriwa wa shakahola

Baadhi ya wahasiriwa waliuawa kwa kuzibwa pua au mdomo, ukaguzi wa maiti ulionyesha.

Muhtasari

• Baadhi ya wafu walikuwa wamgongwa kwa kifaa butu kichwani.

• Wengine wao hasa watoto walikuwa na alama za kunyongwa.

• Walikuwa wamevunjika mifupa katika shingo.

Image: WILLIAM WANYOIKE