Mukami Kimathi, unachostahili kujua kumhusu shujaa huyu wa Uhuru

Aliongoza wanawake wengine shujaa kuwaunga mkono wapiganaji wa Mau Mau, alihusika kuwapelekea chakula wapiganaji msituni.

Muhtasari

• Alipewa tuzo ya shujaa wa uhuru na hayati rais mustaafu Mwai Kibaki katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa 2003.

Image: WILLIAM WANYOIKE