'Maisha London' kwa wafungwa CS Kindiki akipokea mapendekezo ya kuwaboreshea maisha

Wafungwa kupewa sare mbili kubadilisha, chakula cha mchana wakiwa kortini, kila mfungwa kulala kwenye kitacha na godoro lake ni baadhi ya maboresho.

Muhtasari

• Kila mfungwa ambaye atapelekwa mahakamani kuhudhuria kusikilizwa kwa kesi yake atapewa chakula cha mchana  baada ya kikao.

• Wafungwa hao pia watakabidhiwa na sare mpya, mbili kila mmoja ili kubadilisha akiwa jela.

Baadhi ya mapendekezo ya CS Kindiki kuhusu wafungwa gerezani.
Baadhi ya mapendekezo ya CS Kindiki kuhusu wafungwa gerezani.
Image: WILLIAM WANYOIKE