Nyota wa kishari: Vitendo ovyo vya Christiano Ronaldo uwanjani

Mchezaji huyo hivi majuzi alimsukuma vikali mfanyikazi wa uwanjani aliyetaka kupiga picha na yeye, lakini pia amewahi tupa maikrofoni ya mwanahabari majini.

Muhtasari

• Kipindi kimoja pia, nyota huyo aliwahi chukua kipaza sauti cha mwanahabari aliyemuuliza swali na kukitupa majini kwa hasira.

Matukio duni ambayo yamempaka tope Ronaldo
Matukio duni ambayo yamempaka tope Ronaldo
Image: WILLIAM WANYOIKE