Kenya yawasilisha ombi la kuandaa AFCON na majirani zake, je, waanafikia vigezo?

Ili taifa kupewa tikiti ya kuwa mwenyeji wa kipute cha AFCON lazima viwanja vyake vyote viwe karibu na hospitali ya angalau levo 5.

Muhtasari

• Usafiri mzuri na usalama wa hali ya juu ni katiya matakwa ambayo bodi ya kuteua taifa mwenyeji wa AFCON wanazingatia.

• Vile vile ni sharti angalau viwanja viwili viwe na uwezo wa kusheheni mashabiki 40K walioketi.

Vigezo vya kuzingatiwa kabla nchi kupewa nafasi ya kuandaa AFCON.
Vigezo vya kuzingatiwa kabla nchi kupewa nafasi ya kuandaa AFCON.
Image: WILLIAM WANYOIKE