• Mourinho aliisaidia Chelsea kushinda mataji matatu katika misimu tofauti alipokuwa kocha wa timu hiyo mara mbili.