Muhtasari
• Pep Guardiola ameweza kupendekezwa na wengi kama kocha bora zaidi duniani kwa baadhi ya mafanikio yake katika ligi tatu tofauti.
• Pep Guardiola kwa misimu 6 ameweza kuwaongoza timu ya Man City kuibuka mabingwa wa ligi kuu nchini Uingereza mara 5.