logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu kaunti ambazo wanawake walipoteza ubikira na umri mdogo zaidi

Samburu inaongoza kwa umri wa chini kabisa ambapo wanawake walishiriki mapenzi kwa mara ya kwanza

image
na SAMUEL MAINA

Habari03 July 2023 - 14:24

Muhtasari


  • •Samburu inaongoza kwa umri wa chini kabisa ambapo wanawake walishiriki mapenzi kwa mara ya kwanza

Kaunti ya Samburu inaongoza kwa umri wa wastani wa chini kabisa ambapo wanawake walishiriki mapenzi kwa mara ya kwanza nchini Kenya.

Utafiti wa Demografia na Afya ya Kenya 2022 (KDHS 2022) uliofanywa na KNBS unaonyesha kuwa wanawake katika kaunti hiyo ya mkoa wa bonde la ufa walishiriki tendo la ndoa kwa mara ya kwanza wakiwa na umri wa wastani wa miaka 15.6.

Kaunti ya West Pokot inafuatia kwa umri wa wastani wa chini kabisa ambapo wanawake walifanya ngono kwa mara ya kwanza, miaka 15.7.

Utafiti huo ulifanywa kwa wanaume wenye umri wa miaka 25 hadi 54.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved