logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Haitham Kim: Mfahamu kwa undani malkia wa bongo aliyefariki Ijumaa

Marehemu alizikwa mnamo Septemba 4 katika makaburi ya Kisutu katika hafla ya mazishi iliyojaa hisia.

image
na SAMUEL MAINA

Habari04 September 2023 - 12:07

Muhtasari


  • •Tasnia ya bongo ilimuomboleza mmoja wao, mwibaji Haitham Kim ambaye alifariki katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke  Ijumaa.
  • •Marehemu alizikwa mnamo Septemba 4 katika makaburi ya Kisutu katika hafla ya mazishi iliyojaa hisia.
Mfahamu staa wa bongo aliyefariki Ijumaa.

Mwishoni mwa wiki jana, tasnia ya bongo ilimuomboleza mmoja wao, mwibaji Haitham Kim ambaye alifariki katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke siku ya Ijumaa.

Mwimbaji huyo alifariki akiwa na umri mdogo baada ya kushambuliwa na tatizo la upumuaji, hali iliyopelekea kulazwa ICU kabla ya kuaga.

Alizikwa Septemba 4 katika makaburi ya Kisutu katika hafla ya mazishi iliyojaa hisia ambayo ilihudhuriwa na wasanii wenzake, familia, marafiki na mashabiki.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved