Wabunge wachapakazi: Babu Owino ang'ara Nairobi Ndindi Nyoro aking'ara Mlima Kenya

Katika ukanda wa Nairobi, Babu Owino wa ODM ambaye ni mbunge wa Embakasi East anaongoza kwa wabunge wa Nairobi wanaofanya kazi licha ya vitimbi vyake vingine.

Muhtasari

• Kenya Mzima, Ndindi Nyoro ndiye mbunge aliyechaguliwa pakubwa kwa kufanya kazi nzuri kwa wananchi wake huko Kiharu kaunti ya Murang'a.

Wabunge wachapakazi kutoka kila kanda Kenya.
Wabunge wachapakazi kutoka kila kanda Kenya.
Image: ROSA MUMANYI