Haya ndio matakwa ya Jumuiya ya wasioamini katika uwepo wa Mungu Kenya kwa serikali

Jumuiya hiyo ikiongozwa na rais Harrison Mumia waliwahi omba kutengewa sikukuu ya kitaifa ili kutangaza wazi kutokuwepo kwa Mungu.