Wanasiasa wa Kenya wanaofuata Nyayo za wazazi wao katika siasa

Rais Mustaafu Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga ni watoto wa rais wa kwanza Jomo Kenyatta na makamu wake wa kwanza Jaramogi Oginga Odinga.

Muhtasari

• Baadhi ya wanasiasa wakiwemo Musalia Mudavadi na George Khaniri walijiunga na siasa  wakiwa chini ya umri wa miaka 30 mno kufuatia vifo vya wazazi wao.

Image: WILLIAM WANYOIKE