logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu wanahabari ambao wamepewa kazi katika serikali ya Ruto

Leo tunaangazia wanahabari wengine ambao wamepewa nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Ruto.

image
na SAMUEL MAINA

Habari06 October 2023 - 04:01

Muhtasari


  • •Katika grafiki ya leo, tunaangazia wanahabari wengine ambao wamepewa nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Ruto.
ambao wamepewa kazi katika serikali ya Rais Ruto.

Aliyekuwa mtangazaji wa KTN na K24 Mwanaisha Chidzuga mnamo Jumatano aliteuliwa kuwa naibu msemaji wa serikali. 

Chidzuga amekuwa mwanahabari wa hivi punde zaidi kuteuliwa na rais William Ruto katika serikali yake, kuna wengine kadhaa ambao waliteuliwa mbele yake.

Katika grafiki ya leo, tunaangazia wanahabari wengine ambao wamepewa nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Ruto.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved