Wanasoka wanaolipwa hela ndefu zaidi 2023 kulingana na Forbes

Ronaldo anaendeleza ubabe wake kileleni akiwa anatia mfukoni shilingi biliojni 38.8 kwa mwaka katika klabu yake ya Al Nassr.

Muhtasari

• Haaland, De Bruyne na Salah ndio wachezaji pekee wa ligi ya Premia ambao wako kwenye orodha hiyo ya 10 bora.

wachezaji ghali
wachezaji ghali
Image: Hillary Bett
wanasoka wa hela ndefu
wanasoka wa hela ndefu
Image: hillary bett,