Maafa ya mvua inayoendelea kunyesha (Oktoba - Novemba 2023)

Shirika la msalaba mwekundu,lilisema kuwa kufikia Novemba 5 kaya 15,265 zilikuwa zimeathirika.

Muhtasari

• Zaidi ya watu 21 wamepoteza maisha yao kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali nchini.

• Jumla ya watu elfu hamsini,wameathirika kufikia sasa,huku zaidi ya waathiriwa  elfu kumi na tatu wakiwa wa Kaskazini Mashariki.

Athari zilizo sababishwa na mvua inayoyenyesha mchini
Athari zilizo sababishwa na mvua inayoyenyesha mchini
Image: ROSA MUMANYI