Wafahamu Wakenya mashuhuri waliopeleka watoto wao sekondari 2024

Watoto wa baadhi ya Wakenya mashuhuri walijiunga na shule bora za Kenya.

Muhtasari

•Watumbuizaji Alex Mathenge na DJ Moh Spice waliwapeleka watoto wao katika Shule za Kitaifa baada ya kufanya vyema katika KCPE.

•Nuru Okanga alijiunga na shule ya upili ya kutwa licha ya awali kueleza angependa kujiunga na Alliance au Shule ya Lenana.

mashuhuri waliopeleka watoto wao sekondari 2024
Wakenya mashuhuri waliopeleka watoto wao sekondari 2024
Image: WILLIAM WANYOIKE